Polisi na maafisa wa kaunti wazuia matatu kuingia jijini

856 views · Published 3 December 2018 · 2:24 · Indexed 2 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Wakenya wataendelea kupiga mguu kwa muda kutokana  na Mahakama kuu ya Nairobi kukataa kusitisha utekelezaji wa agizo la kaunti ya Nairobi kupiga marufuku magari ya uchukuzi kuingia katikati ya jiji la Nairobi. Hii ni baada ya Seneta wa Nairobi Johnson Sakaja kuwasilisha kesi mahakamani dhidi ya serikali ya kaunti ya Nairobi pamoja na gavana Mike Sonko. Sakaja alishutumu agizo hilo na kumkosoa Sonko kwa kutoshauriana na wadau kabla ya utekelezaji wake.

More from this channel