Mshukiwa wa mauaji ya watoto Kiserian azuiliwa na polisi

1,528 views · Published 5 December 2018 · 2:25 · Indexed 20 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Wakazi wa eneo la Shalom katika kaunti ya Kajiado sasa wanaishi kwa hofu baada ya mwili wa mtoto kupatikana ukiwa umekatwa kichwa na kisha kutupwa shimoni. Mshukiwa wa mauaji hayo anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Kiserian.

More from this channel