Shahidi ajitokeza kueleza alimuona sajini Dismus Gitenge akiutupa mwili wa Maureen kando ya barabara

2,435 views · Published 18 July 2018 · 0:49 · Indexed 27 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Kuhusu ajali iliyomhusisha sajini wa gereza, Shahidi  amejitokeza na kueleza kuwa alimuona sajini Dismus Gitenge Mutongwa akiutupa mwili wa Maureen Wambui Gachagwa kando ya barabara  katika mtaa wa south C. Mwendazake alihusika katika ajali jumapili katika barabara ya mombasa.

Run Underlay

Picha za cctv ambazo NTV ilipata kutoka kwa idara ya polisi zinaonyesha gari la mshukiwa likipita kasi likiwa na mzigo juu.  Kulingana na msemaji wa  polisi Charles Owino, mshukiwa  anatarajiwa kupelekwa kortini tarehe ishirini na nne ambapo mashtaka mengine yanatarajiwa kuongezwa. Moja ya mashataka hayo ni kuficha ushahidi. Hayo yakijiri wanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta wanaendelea kuomboleza kifo cha Maureen Wambui Gachagwa.

More from this channel