Mahakma yakataa kuwapa dhaman raia watatu wa China

90 views · Published 30 November 2018 · 1:01 · Indexed 10 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Raia watatu wa uchina wanaohusishwa na kashfa ya wizi wa fedha za tiketi za treni ya Madaraka express, mbali na madai ya kutoa hongo ya shilingi laki 9 ili kutatiza upelelezi wa ufisadi watasalia rumande kwa muda zaidi.

More from this channel