IEBC yashinikizwa ibatilishe zabuni iliyoipa Al Ghurair

1,204 views · Published 17 June 2017 · 2:18 · Indexed 18 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2017 · Sports

Watch on YouTube

Chama cha Third Way Alliance kimeitaka tume ya IEBC kubatilisha kandarasi iliyopewa kampuni ya kutoka Dubai ya Al Ghurair kwa ajili ya kudhihirishia  wakenya kuwa kuna uwazi katika maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao. Mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho Dkt Ekuru Aukot, ametaja  Jubilee na NASA kama wahusika wenye ajenda binafasi ambazo huenda zikazua matatizo nchini..

More from this channel