Familia moja Machakos yalilia haki ya binti yao aliyeuawa 2012
839 views · Published 26 December 2018 · 1:23 · Indexed 8 October 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Familia ya mwendazake, Lillian Mwikali, inamsihi mkurugenzi wa mashtaka ya uma, Noordin Hajji, pamoja na mkuu wa sheria nchini, Paul Kihara, kukata rufaa dhidi ya uamuzi uliowaachilia washukiwa wa mauwaji wa mwanao huru wiki iliyopita. Mwili wa marehemu ulipatikana umetupwa kwenye hoteli moja mjini Malindi mwaka wa 2012 kwa kile kinaaminiwa kuwa kutokana na mzozo wa mali dhidi ya mwendazake na washukiwa ambao waliachiliwa huru na mahakama ya Malindi.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
2:37
Retired Nyeri archbishop accused of speaking for the government during Madaraka Day prayer
-
3:53
Tanzanian farmers, like Kenyans, eagerly awaiting the use of GMOs - Food Friday
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao