Joho asisitiza kuwa hana uhasama wowote na gavana wa Kilifi, Amason
3,075 views · Published 15 August 2018 · 1:31 · Indexed 28 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Gavana wa mombasa Hassan Joho amesisitiza kuwa hana uhasama wowote wa kisiasa na gavana wa Kilifi Amason Kingi, akisema kuwa lengo lake ni kuleta umoja miongoni mwa viongozi wa pwani. Hii leo Joho aliandaa mkutano na gavana Kingi pamoja na wawakilishi wa mabunge ya kaunti ya eneo la pwani. Joho amewataka viongozi kutoka pwani kutumia uhusiano mwema uliopo kati ya rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga, kupigania nafasi ya kupata maendeleo na miradi ya tija kutoka kwa serikali kuu. Haya yanawadia siku chache baada ya magavana hao kukutana na kinara wa ODM Raila Odinga.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao
-
8:19
Gilad and Superband reveal the inspiration behind Nairobi Yangu
-
2:13
Bungoma county commissioner warns political leaders against violence
-
6:02
Uhuruto's Nakuru Campaign: President and DP seek to fortify perceived strongholds
-
2:13
Jubilee senator claims coast is no longer an ODM zone