Mbunge Kaluma apendekeza vyama vya siasa kupewa jukumu la uteuzi wa makamishena wa IEBC

136 views · Published 16 October 2018 · 0:59 · Indexed 2 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Mbunge wa Homabay mjini Peter anapendekeza mabadiliko katika mfumo wa kuwateua makamishna wa IEBC.Kaluma anapendekeza jukumu hilo linalotekelezwa na jopo maalum sasa liachiwe vyama vya kisiasa

More from this channel