Mvutano wa gavana Mwangi wa Iria na MUWASCO waendelea Murang’a
232 views · Published 1 October 2018 · 0:54 · Indexed 25 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Mzozo wa udhibiti wa huduma za maji katika kaunti ya Murang’a bado unaendelea huku gavana wa Murang’a Mwangi wa Iria akitoa amri wakaazi waliokatiwa huduma hizo warudishiwe maji. Haya yanajiri baada ya kampuni ya maji kukata maji Murang’a kwa sababu ya kutolipa madeni kutoka kwa wakazi. Mwangi wa Iria aliwaahidi wakazi kuwa atawasaidia kulipa deni la maji na kama kampuni hizo hazitatii amri yake ya kuwarudishia maji, atazichukua kampuni hizo na kuzigeuza kuwa za serikali ya kaunti.
More from this channel
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
2:13
Bungoma county commissioner warns political leaders against violence
-
6:02
Uhuruto's Nakuru Campaign: President and DP seek to fortify perceived strongholds
-
2:13
Jubilee senator claims coast is no longer an ODM zone
-
3:35
Scare mongering rears its ugly head in Uasin Gishu
-
1:02
Civil society wants IEBC to bar politicians with with integrity questions
-
42:11
Land banking and agribusiness investment in Kenya
-
2:05
Retailers selling GoK 'Unga' above recommended price