KPC yakadiria hasara baada ya zaidi ya lita milioni 20 za mafuta kudaiwa kuvuja
238 views · Published 27 November 2018 · 2:28 · Indexed 29 October 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports
Mkutano maalum ulioitishwa na bodi ya kampuni ya mafuta nchini KPC, kuwezesha mameneja wakuu wa KPC kuelezea hasara ya mafuta ya lita milioni ishirini na tatu ambayo imeripotiwa kupotea kwa kumwagika umeahirishwa hadi wiki ijayo baada ya wakurugenzi watatu wa bodi hiyo kukosa kufika. Haya yanawadia huku wafanyibiashara wa mafuta wakishurutisha KPC kuelezea mafuta hayo waliyonunua yaliko.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
5:55
IEBC clears several candidates with integrity questions
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
2:37
Retired Nyeri archbishop accused of speaking for the government during Madaraka Day prayer
-
3:53
Tanzanian farmers, like Kenyans, eagerly awaiting the use of GMOs - Food Friday
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend