Wakaazi wa Githurai wataka bwawa la Clay Works lijengewe ua

717 views · Published 25 September 2018 · 1:46 · Indexed 2 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Kizaazaa kilizuka katika barabara kuu ya Thika, baada ya wahudumu wa matatu na wakazi wa eneo la Githurai 45 kufunga barabara na kuandamana wakitaka bwawa la Clay Works lililoko kando ya barabara hiyo lijengewe ua. Hii ni kufuatia ajali ya Jumatatu usiku ambapo matatu ilitumbukia bwawani. Zaidi ya watu watano walifariki katika ajali hiyo.

More from this channel