Naibu wa rais William Ruto asema anaisubiri katiba iandaliwe na haiogopi

1,132 views · Published 7 October 2018 · 3:09 · Indexed 4 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Naibu wa rais William Ruto amekariri kuwa ataunga mkono kufanyika kwa kura ya maamuzi ya marekebisho ya katiba kwa kuzingatia kuboresha maisha ya mkenya. Kwa mujibu wa Ruto, mchakato mzima wa kura hii haustahili kulenga kuongeza nyadhifa yza uongozi. Haya yanajiri huku wanasiasa wakijikuna kichwa kutafuta swali kuu katika kura hiyo ya maamuzi mbali na mabadiliko yatakayolengwa katika mchakato mzima.

More from this channel