Hospitali ya rufaa ya Moi, Eldoret yakabiliwa na msongamano
381 views · Published 24 October 2018 · 2:02 · Indexed 28 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Baada ya ugatuzi, ilitarajiwa kuwa matatizo mengi ya kiafya yatatuliwa katika hospitali za kaunti. Lakini kama mwandishi wetu Gabriel Kudaka anavyotuarifu, hospitali ya rufaa ya Moi mjini Eldoret ,imedai kupokea wagonjwa wasio na matatizo makubwa ya afya kutoka kwa kaunti za maeneo ya bonde la ufa na magharibi mwa Kenya, hali inayosababisha msongamano. Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke. Follow @ntvkenya on Twitter. Like our page on Facebook: NTV Kenya. Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao
-
8:19
Gilad and Superband reveal the inspiration behind Nairobi Yangu
-
2:13
Bungoma county commissioner warns political leaders against violence
-
6:02
Uhuruto's Nakuru Campaign: President and DP seek to fortify perceived strongholds
-
2:13
Jubilee senator claims coast is no longer an ODM zone