Askofu John Njenga azikwa Holy Family Basilica

535 views · Published 13 November 2018 · 1:01 · Indexed 7 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Rais Uhuru Kenyatta ameamuru wizara za ardhi na elimu kushirikiana na kuhakikisha kuwa ardhi yote inayomilikiwa na shule zinazodhaminiwa na makanisa imerejeshewa wamiliki halisi katika wiki moja ijayo. 
Aidha, rais ameamuru wizara ya elimu kurejesha ulezi wa shule kwa mashirika ya kidini kama njia mojawapo za kuzuia visa vya utovu wa nidhamu na kudhalilishwa kwa wanafunzi hasa wa kike wanaotungwa mimba wangali shuleni.

More from this channel