BUZEKI AMPUUZA RUTO.
83 views · Published 12 June 2017 · 1:46 · Indexed 21 September 2026
Channel: MBCI TV OFFICIAL · 2017 · People & Blogs
Mwaniaji wa kujitegemea katika kiti cha ugavana Uasin Gishu Buzeki amesema kuwa kamwe hatafuata ombi la naibu wa rais la kumuunga mkono mpinzani wake gavana Mandago.