Kiongozi wa kanisa la PCEA ataka wahusika wa ufisadi waadhibiwe vikali

283 views · Published 8 December 2018 · 0:37 · Indexed 9 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Kiongozi wa kanisa la PCEA hapa nchini, Kasisi Julius Mwamba, amekemea  ufisadi miongoni mwa viongozi wa nchi na wakurugezi wa kampuni tofauti hapa nchini na kutaka hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yao ili iwe funzo kwa wengine. Mwamba amesema hayo leo katika maadhimisho ya miaka 120 ya kanisa la PCEA.

More from this channel