Mwanafunzi wa kidato cha tatu afa maji Baringo

1,073 views · Published 4 December 2018 · 2:04 · Indexed 15 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Mwanafunzi wa kidato cha tatu afariki katika mazingara ya kutatanisha katika sherehe katika hoteli moja Baringo huku Familia 14 zilizopanga katika nyumba moja huko Thika zikifurushwa kutokana na suitofahamu ya umiliki.

More from this channel