Taxify yatoa fidia ya Ksh. 3000 kwa Wankio aliyeshambuliwa na dereva wa kampuni

1,698 views · Published 31 July 2018 · 1:26 · Indexed 20 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Kampuni ya taxify imetoa fidia ya shilingi elfu tatu kwa Wankio Nyainda aliyeshambuliwa na dereva wa kampuni hiyo jumapili iliyopita nje ya nyumba yake. Wankio anasema kuwa ataendelea kufuatilia kesi dhidi ya dereva Daniel Mwiti ambaye alimtishia maisha. Charity Mwangi ana maelezo zaidi.

Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya 
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

More from this channel