Uhalifu jijini Nairobi
4,255 views · Published 14 July 2018 · 0:49 · Indexed 22 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports
Wizi wa simu na bidhaa nyingine umekithiri jijini Nairobi huku wezi wakiibua mbinu mpya kila kuchao. Wizi huo haufanyiki katika barabara pekee lakini pia katika majumba yenye vifaa vya kisasa vya usalama kama vile kamera za usalama. Katika mkahawa wa Hurt cake eneo la Nairobi West jamaa mmoja anayejidai kuwa maskini anayetaka msaada anaonekana akimuibia simu mteja huyu Michael Abraham aliyekuwa kwenye mazungumzo na mwenzake. Wawili hao wanaonekana kuendelea na gumzo lao wasifahamu kama wameibiwa. Ni muhimu kuwa makini wakati wote na wala usipumbazike na mazingira ulioko hata kama ni dhahiri yanaonekana kuwa salama.
More from this channel
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
2:13
Bungoma county commissioner warns political leaders against violence
-
2:13
Jubilee senator claims coast is no longer an ODM zone
-
1:02
Civil society wants IEBC to bar politicians with with integrity questions
-
1:43
Doctors' child dies at Kakamega Hospital as nurses strike bites
-
2:27
William Ruto says NASA leaders lack ideas to develop Kenya
-
1:36
Raila, Kalonzo campaign for their parties at Iftar event in Mombasa
-
1:12
Kapenguria MP says counties have failed to manage health care