Mitindo ya kisasa ya kunyolewa #Ulimbwende

994 views · Published 23 September 2017 · 5:47 · Indexed 20 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2017 · Sports

Watch on YouTube

Kumekuwa na ongezeko la mitindo ya kisasa ya kunyolewa, huku watu wengi hasa wanawake wakipendelea kutia nywele zao rangi na madoido mengine. Hatahivyo, bado kuna vinyozi ambao wamekwamilia   mbinu za zamani za kutotumia vifaa vya umeme  kama makasi na nyembe. Peter Mwangangi alitembelea kinyozi anayetumia vifaa na yule ambaye ameukumbatia usasa  na kuandaa makala ya leo ya Ulimbwende.

More from this channel