Karua kukata rufaa katika mahakama ya juu kuhusiana na kesi ya uchaguzi wa ugavana wa Kirinyaga

431 views · Published 20 December 2018 · 2:03 · Indexed 20 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Kiongozi wa NARC Kenya, Martha Karua, atakata rufaa katika mahakama ya juu baada ya mahakama ya rufaa kutupilia mbali kesi yake ya kupinga kuchaguliwa kwa gavana wa Kirinyaga, Anne Waiguru, katika uchaguzi wa Agosti nane mwaka jana. Karua alienda katika mahakama ya rufaa  baada ya kushindwa kesi katika mahakama kuu mnamo Juni mwaka huu.

More from this channel