Baadhi ya wakaazi wa Mlima Elgon wadai kunyanyaswa na polisi
263 views · Published 10 March 2018 · 3:34 · Indexed 22 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Wakaazi wa Mlima Elgon wameitaka serikali kuangalia upya amri ya kutotoka nje iliyowekwa na waziri wa usalama wa ndani dakta Fred Matiangi. wanasema hatua hiyo imeathiri pakubwa biashara, masomo na kilimo. Hayo yanajiri huku viongozi kutoka bungoma wakitaka amri hiyo kufutiliwa mbali wakisema inatumika visivyo na maafisa ambao wanawanyanyasa wakaazi. Zaccheaus Mwasame ana maelezo zaidi kutoka mlima elgon Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke. Follow @ntvkenya on Twitter. Like our page on Facebook: NTV Kenya. Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush
More from this channel
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
2:13
Bungoma county commissioner warns political leaders against violence
-
2:13
Jubilee senator claims coast is no longer an ODM zone
-
1:02
Civil society wants IEBC to bar politicians with with integrity questions
-
1:43
Doctors' child dies at Kakamega Hospital as nurses strike bites
-
2:27
William Ruto says NASA leaders lack ideas to develop Kenya
-
1:36
Raila, Kalonzo campaign for their parties at Iftar event in Mombasa
-
1:12
Kapenguria MP says counties have failed to manage health care