Wakenya wakimbilia Uganda kuepuka ongezeko la bei ya mafuta

1,084 views · Published 4 September 2018 · 2:55 · Indexed 20 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Baadhi ya Wakenya wanaoishi kwenye mpaka wa Kenya na Uganda wamelazimika kutafuta njia mbadala ya kupunguza gharama ya maisha inayotokana na ongezeko la ushuru wa thamani kwa mafuta. Wakenya hao wananunua mafuta Uganda na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Zaccheaus Mwasame wengi wanadai kuwa serikali imepuuza kilio chao. 

Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya 
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

More from this channel