Mjane asalia na mateso baada ya kufiwa na jamaa zake

3,688 views · Published 13 December 2017 · 2:15 · Indexed 22 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2017 · Sports

Watch on YouTube

Ajuza mmoja kutoka kijiji cha nang’oma eneo bunge la Matayos  kaunti ya Busia anaishi katika mazingira duni baada ya nyumba yake kuanguka miaka mitatu iliyopita. Mama huyo mwenye umri wa miaka  78 anaishi katika mabaki ya iliyokuwa nyumba yake  huku maisha yake yakiwa hartarini  kwani  paa  ya nyumba ni ya nyasi na huenda ikashika moto wakati wowote wakati akipika. Zaccheaus mwasame alifikia kijijini nangoma na kutuandalia taarifa ifwatayo

More from this channel