Zaidi ya wafanyabiashara 100 wakadiri hasara katika mkasa wa moto Gikomba

196 views · Published 7 November 2018 · 2:13 · Indexed 20 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Zaidi ya wafanyibiashara 100 katika soko la Gikomba wamepata hasara ya mamilioni ya pesa baada ya bidhaa zao kuteketezwa na moto uliozuka usiku wa kuamkia leo  katika eneo la Gorofani-Majengo sokoni Gikomba kaunti ya Nairobi. Licha ya hasara kubwa waliyopata wakaazi na wafanyibiashara wamewapongeza maafisa wa zimamoto kwa kufika katika eneo la mkasa punde moto huo ulipoanza na kuuzuia kuenea.

More from this channel