Mpira wa Vikapu kwa akina dada- USIU yafuzu nusu fainali

4 views · Published 23 November 2015 · 2:29 · Indexed 29 September 2026

Channel: KBC Channel 1 · 2015 · News & Politics

Watch on YouTube

Mabingwa watetezi, USIU-A walifuzu kwa awamu ya nusu fainali, michuano ya kuwania taji ya ligi kuu ya mpira wa kikapu kwa akina dada baada ya kuishinda Masaku Sparks vikapu 66-60 katika mchuano wa robo fainali ulioandaliwa hii leo katika uwanja wa ndani wa Nyayo.
Connect with KBC Online;
Visit our Website - http://www.kbc.co.ke/
Follow KBC on Twitter  - https://twitter.com/KBCChannel1
Find KBC on Facebook - https://www.facebook.com/kbcchannel1news/
Follow KBC on Instagram - https://www.instagram.com/kbcnews_/
#KBCNewsHour

More from this channel