Joho na Junet wamtahadharisha Ruto kuhusu 2022

1,269 views · Published 1 October 2018 · 1:32 · Indexed 21 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Viongozi wa ODM wakiongozwa na naibu kiongozi wa chama hicho, ambaye pia ni gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho, wamemsuta naibu wa rais, William Ruto kwa matamshi yake mwishoni mwa wiki, alipodai kuwa kiongozi wa chama hicho Raila Odinga ana njama ya kumtendea utapeli wa kisiasa. Viongozi hao wanamtaka Ruto akomeshe siasa za 2022, na kuwajibikia maendeleo ya nchi.

More from this channel