Mahakama kuu ya Bungoma imepiga breki ushuru wa mafuta wa 16%

195 views · Published 6 September 2018 · 2:19 · Indexed 20 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Mahakama kuu ya bungoma imesimamisha kwa muda utozaji wa ushuru wa asilimia 16 kwa mafuta ya petroli.    
Mahakama kupitia kwa jaji Stephen Riechi imesitisha utekelezwaji wa sheria hiyo kwa muda huku kesi iliyowasilishwa ikitarajiwa kusikizwa wiki ijayo. Zaccheaus Mwasame anaarifu zaidi.

More from this channel