Daudi Nzomo akubali mashtaka dhidi yake kortini Makueni
506 views · Published 3 August 2018 · 0:53 · Indexed 21 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Daudi Nzomo, Mwanamume aliyenaswa na Camera Jumatatu iliyopita akimpiga sana mkewe Evelyn Mwende mapema kijijini Kyaaka, kaunti ya Makueni, amekiri mashtaka dhidi yake. Nzomo alikiri mashtaka mbele ya hakimu mkuu mwandamizi james Mwaniki, siku moja baada ya kukamatwa. Mahakama imeamuru mshukiwa azuiliwe katika kituo cha polisi hadi Jumatano ijayo wakati kesi itakapotajwa. Aidha hakimu Mwaniki aliagiza polisi wachunguze zaidi kujua kama nzomo ana historia ya kuhusika katika dhuluma za kinyumbani na waambatanishe ripoti yao. Nzomo alikamatwa Alhamisi katika wadi ya Nguu Masumba , kibwezi Magharibi, Kaunti ya makueni. Wakati huohuo Mwende anaendelea kuuguzwa katika hospitali ya Nairobi Women's baada ya kuhamishwa kutoka kwa hospitali ya Makueni Level 4 . Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke. Follow @ntvkenya on Twitter. Like our page on Facebook: NTV Kenya. Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush
More from this channel
-
1:02
Civil society wants IEBC to bar politicians with with integrity questions
-
8:11
Raila Odinga aongoza kampeini ya muungano wa upinzani Tharaka Nithi
-
3:38
KNUN officials fight as faction tries to call off nurses’ strike
-
5:00
Psychology of killings as stories of family members maiming loved ones puzzling
-
1:36
Jakoyo Midiwo tears into Jubilee's manifesto & their record
-
3:23
Postponing elections could lead to constitutional crisis
-
3:24
Restoration of Nairobi River to cost Kshs. 6 billion
-
3:41
DPP Keriako Tobiko says political class intimidating constitutional bodies