Ghasia zaibuka katika mazishi ya dereva wa mbunge Kibunguchy

2,324 views · Published 20 August 2018 · 1:16 · Indexed 21 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Watu watano wanauguza majeraha kutokana na kupigwa risasi na maafisa wa polisi katika mazishi ya dereva wa mbunge wa Likuyani Enock Kibunguchy yaliyokuwa Kiminini. Inasemekana kuwa vurugu lilianza wakati waziri wa michezo katika kaunti ya Kakamega Robert Kundu alipofika hasa baada ya baadhi kutoridhishwa na kuwepo kwake hapo

More from this channel