Wahudumu waandamana kushinikiza pendekezo ya kuondoa matatu za abiria 14

174 views · Published 6 December 2018 · 1:49 · Indexed 21 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Wahudumu wa sekta ya matatu kanda ya Pwani kusini wamefanya maandamano ili kuishinikiza serikali kusitisha mchakato wa kuziondoa barabarani matatu za kubeba abiria 14.

More from this channel