Kumbukizi za walioangamia katika ajali ya helikopta ziwa Nakuru
2,830 views · Published 21 October 2018 · 4:31 · Indexed 21 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Ni Mwaka Mmoja tangu ajali ya ndege kwenye mbuga ya taifa ya Ziwa Nakuru ambapo watu watano walifariki. Watano hao wakiwa Rubani, Apollo Malowa, Sam Gitau, John Mapozi, Anthony Kipyegon na Veronica Muthoni. Wote walikuwa vijana ambao familia zao zilikuwa na matumaini na malengo makuu juu ya azma yao ya maisha. NTV ilizungumza na familia mbili kati ya tano za waliopoteza wapendwa wao na hii hapa kumbukumbu yao kuhusu wapendwa wao. Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke. Follow @ntvkenya on Twitter. Like our page on Facebook: NTV Kenya. Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush
More from this channel
-
1:02
Civil society wants IEBC to bar politicians with with integrity questions
-
8:11
Raila Odinga aongoza kampeini ya muungano wa upinzani Tharaka Nithi
-
3:38
KNUN officials fight as faction tries to call off nurses’ strike
-
5:00
Psychology of killings as stories of family members maiming loved ones puzzling
-
1:36
Jakoyo Midiwo tears into Jubilee's manifesto & their record
-
3:23
Postponing elections could lead to constitutional crisis
-
3:24
Restoration of Nairobi River to cost Kshs. 6 billion
-
3:41
DPP Keriako Tobiko says political class intimidating constitutional bodies