Ibada ya wafu wa msiba wa Fort Ternan imeandaliwa Kakamega

3,832 views · Published 17 October 2018 · 3:19 · Indexed 21 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Jamaa na marafiki wa waliofariki katika ajali ya barabarani alfajiri ya Oktoba 10, huko Fort Ternan, walikusanyika katika uwanja wa amalemba mjini kakamega kuwaombea   wapendwa wao katika ibada ya wafu iliyoandaliwa na serikali ya kaunti hiyo. Baadhi ya viongozi waliofika , waliitaka serikali ichungzue  ajali hiyo na kuhakikisha hata maafisa wa usalama waliokuwa barabarani usiku huo wamechukuliwa hatua kwa kupuuza sheria za usalama wa barabarani. Leila mohammed anaarifu zaidi.

More from this channel